Thursday, October 5

UINGEREZA YAMPONGEZA RAIS DKT MAGUFULI KWA UAMUZI WA KUHAMISHIA SERIKALI MKOANI DODOMA


 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akimkaribisha Mjumbe Maalumu wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake


  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akizungumza na Mjumbe Maalim wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake


 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akizungumza na Ujumbe alioongozana nao Mjumbe Maalimu wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment