Tuesday, October 10

Trump: Ni kitu kimoja tu kitafanya kazi dhidi ya Korea Kaskazini

Donald Trump and Kim Jong-unHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump: Ni kitu kimoja tu kitafanya kazi kwa Korea Kaskazini
"Ni kitu kimoja tu kitafanya kazi" katika kukabiliana na Korea Kaskazini baada ya miaka kadha ya muzungumzo na Korea Kakzini, rais wa Marekani Donald Trump ameonya.
"Marais na uongozi wao wamekuwa wakizunngumza na Korea Kasakazini kwa miaka 25," aliandika katika twitter akisema kuwa hilo halijafanikiwa
Bw Trump hakueleza zaidi.
Nchi hizo zimekuwa kwenye vita vya maneno kufuatia mipango ya nyuklia ya korea Kaskazini, huku Marekani ikitaka kusitishwa majaribio ya makombora.
A US Air Force B-1B Lancer, flanked by Republic of Korea Air Force fighter, taking part in a show of force exercise in response to North Korean ballistic missile tests (18 September 2017)Haki miliki ya pichaAFP
Image captionNdege za jeshi la Marekani
Korea Kaskazini inasema kuwa imefanikiwa kulifanyia jaribio bomu la haidrojeni ambalo linaweza kubebwa na kombora la masafa marefu.
Awali Trump ameonya kuwa Marekani itaiharibu Korea Kaskazini ikiwa itahitajika kujilinda pamoja na washirika wake
A passer-by looks at a TV screen reporting news about North Korea's missile launch in Tokyo (15 September 2017)Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionKuna hofu kuwa Korea Kaskazini itakuwa na uwezo wa kuishambulia Marekani kwa na silaha za nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini siku ya Jumamosi alisifu silaha za nyulia kama kitu cha nguvu kinachoipa nchi yake ulinzi.
Hivi majuzi Korea Kaskazini ilirusha makombora kupitia anga ya Japan na kupuuza vikwazo vya kimataifa na kufanya jaribio lake la sita ya nyulia mwezi Septemba.
Imetangaza kuwa ifanya jaribio lingine katika bahari ya Pacific.

No comments:

Post a Comment