Saturday, October 14

SERIKALI YAKANUSHA NA KUTOLEA UFAFANUZI MADAI YA TUCTA, YAWATAKA WAACHE SIASA


Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na waandishi vyombo mbalimbali vya habari nchini, wakati akitolea ufafanuzi madai ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) juu ya tuhuma dhidi Rais na Serikali yake. Mkutano huo umefanyika mchana huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari, Jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Habari na Picha wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Thadeus.






No comments:

Post a Comment