Tuesday, October 3

Bi Mongella, mwanasiasa wa muda mrefu Tanzania ameshikilia nyadhifa mbalimbali kimataifa

http://www.bbc.com/swahili/habari-41424312

Katika msimu mpya ya Wanawake 100 wa BBC, tunaangazia wanawake wenye ushawishi na wanao wahamasisha wengine kuyakabili matatizo ulimwenguni. Gertrude Mongella, ni mwanasiasa wa muda mrefu Tanzania aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kitaifa na kimataifa. Arnold Kayanda anamuangazia

No comments:

Post a Comment