.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Mkonda (kulia)akikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kuuza magari (Show Room) kwa jiji Dar es Salaam lililopo Kigamboni-Kisarawe leo jiijini Dar es Salaam, ambapo show room zilizo katika sehemu mbalimbali zinatakiwa kwenda katika eneo hilo na hawatalipa kodi ya maeneo hayo ndani ya miaka mitatu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Mkonda akizungumza mara ya baada ya kukagua eneo la lililotengwa kwa ajili kuuzia magari Kigamboni –Kisarawe jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment