Wednesday, July 26

TUNZA GARI YAKO NA KICHOCHEO CHA NANO ( NANO ENERGIZER )

Tunakitambulisha kichocheo madhubuti cha Nano  kilichothibitishwa ubora wake na shirika la 
viwango la kimataifa (ISO 9001:2015). Hii ni teknolojia ya kipekee na ya kimapinduzi kwenye tasnia ya magari na mitambo. kichocheo cha Nano kimetengenezwa na teknolojia ya kisasa duniani ya Nano (Nano technology) kwa ajili ya kuikarabati na kuipa ulinzi injini ya gari yako bila kuifungua. Kichocheo cha Nano huziba mikwaruzo yote ndani ya injini na kuirudisha nguvu ya injini kama ilivyokuwa mpya. Wasiliana nasi kupitia Namba 0715480174.



Kichocheo cha Nano kinaipa injini ganda au tabaka gumu la ceramic na platinum. Tabaka hili linafanya muunganiko wa kudumu na chuma cha injini (cylinder wall) na kina uwezo madhubuti wa kuhimili uchakavu na michubuko itokanayo na msuguano. Inarudisha uwezo wa kusukuma wa injini (compression ratio) kwa kuweka ganda gumu kwenye ukuta wa cylinder.

FAIDA ZA KICHOCHEO CHA NANO.

  1. Hupunguza matumizi ya mafuta kwa 8% - 21%.
  2. Huongeza nguvu ya injini hadi kufikia 100%.
  3. Hupunguza mlio na makelele ya injini na mtetemo hadi Mara 5 zaidi.
  4. Inatoa ulinzi wa injini hadi kufikia 40000 km.
  5. Husaidia Kuboresha uhai wa injini na vifaa vingine.
  6. Hulinda injini na kuirudisha kwenye ubora wake kama ilivyokuwa mpya.
  7. Huongeza msukumo wa injini na kuboresha uunguaji wa mafuta.
  8. Hulainisha usukani na gear box.
  9. Hupatikana kwa magari ya aina zote, generator, compressor, pikipiki, bajaji na kila aina ya mtambo.
  10. Hupunguza utoaji wa moshi kati ya mara 3 hadi 9.
  11. Ina garantii ya utendaji kazi kwa 100%.
  12. Haiharibiki kwa nanma yoyote ile.
  13. Bidhaa bora kabisa iliyothibitishwa kimataifa na kitaifa.
  14. Inakupa faida ya kutoifungua injini hivyo kuongeza thamani ya gari hata ukitaka kuiuza.
  15. Inakupa faida ya kupata mafuta bure kila unapoweka kwa mara ya 9.
  16. Faida isiyolinganishwa ya ulinzi wa gari lako hadi kufikia km 40000 kwa sh 60000 tu ukilinganisha na gharama za  mafuta na services kwa kipindi hicho.


MATUMIZI

  1. Injini inatakiwa iwe imetumika kwa km 3000.
  2. Kichocheo cha Nano kinatumika kwa injini za aina yoyote inayotumia oili ya aina yoyote (mineral or synthetic oils).
  3. Ili kupata matokeo bora zaidi weka unapofanya service.
  4. Ipashe injini yako.
  5. Tikisa kichocheo cha Nano kabla ya kuweka kwenye injini.
  6. Fungua kifuniko cha injini oili halafu mimina kichocheo cha Nano.
  7. Funga kifuniko. Hongera, umefanikiwa.
  8. Baada ya kumimina kichocheo cha Nano usibadili oili ya injini mpaka kipindi cha matumizi yafuatayo (kilomita 400 kwa pikipiki na bajaji, kilomita 1200 - 1500 kwa magari madogo na kilomita 3000 kwa malori na mabasi).


MAPENDEKEZO.
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na kukubaliwa na taasisi zifuatazo.

  • Chuo kikuu cha Taifa cha Kyungpook - Korea.
  • Chuo Kikuu cha Taifa cha Seoul - Korea.
  • Taasisi ya Korea ya Mashine na Vifaa.
  • Chuo Kikuu cha Yeungnam - Korea.
  • Taasisi ya Korea ya Teknolojia ya magari.
  • Jeshi la ulinzi wa Taifa la Korea.
  • Kituo cha Jeshi la Anga la India.


UTHIBITISHO WA UBORA.
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio maabara, kuthibitishwa, kukubalika na kutunukiwa vyeti vya ubora na taasisi zifuatazo.


  1. Shirika la Ubora la Kimataifa ISO 9001:2015.
  2. Shirika la viwango la Tanzania - TBS.
  3. Mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania - GCLA.
  4. Maabara ya kimataifa ya SGS.
  5. Maabara ya kimataifa ya TUV SUD Industrie Service GmbH.


USHUHUDA / MAPENDEKEZO.
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na makampuni ya kutengeneza magari, kimethibitishwa na kupendekezwa kutumika na makampuni yafuatayo.
  • MERCEDES BENZ
  • TOYOTA
  • GM DAEWOO
  • VOLVO
  • HONDA
  • HYUNDAI
  • AUDI
kichocheo cha Nano sasa kinapatikana Tanzania na kusambazwa na POWER ENERGY ENGINEERING COMPANY LTD. Tunakaribisha mawakala kutoka wilaya zote za Tanzania. Wasiliana nasi kupitia Namba 0715480174.

Kwa wafanyabiashara: usiikose fursa hii ya kibiashara.
Kwa wamiliki wa vyombo vya moto (Magari, pikipiki, bajaji nk): Tumia Kichocheo cha Nano kwa ulinzi madhubuti wa chombo chako.


ANGALIA VIDEO HII UONE JINSI NANO INAVYOFANYA KAZI..









No comments:

Post a Comment