Kumekuwa na stori nyingi au mazoea ya kuona kazi ya mochwari ni kazi ambayo ngumu au sio ya kawaida kufanywa na mtu yoyote hususani kwa wanawake kutokana na kuwa ina aaminika kufanya kazi mochwari sio jambo dogo kwani wengi wao watu huogopa wakiamini mahiti zinatisha.
AyoTV imefanikiwa kusafiri hadi Geita na kufanikiwa kumpata katika exclusive interviewAngel Samwel Milinga ni mama wa familia lakini kubwa anafanya kazi katika hospitali ya mkoa wa Geita kitengo cha mochwari kwa kujitolea kwa zaidi ya mwaka.
Ugumu wa kazi ya mochwari halafu mtu kufanya kazi ya kujitolea sio kitu cha kawaida,AyoTV imempata Angel Samwel Milinga akielezea kazi yake na historia yake katika kazi hiyo.
No comments:
Post a Comment