Kijana Francis Damiano Damas (17) ametwaa medaili ya shaba katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya sita vijana kutoka nchi za Jumuiya ya Madola yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Nassau nchini Bahamas. Picha ya juu inamuonesha Kijana Francis Damiano Damas akiwa na wenzake Collins (kushoto) Kiongozi wa msafara Mwinga Mwanjala (katikati), kulia ni Celina Itatiro (14) na wa pili kulia ni Regina (15)
No comments:
Post a Comment